Na Walter
Mguluchuma
Katavi
Halimashauri ya Nsimbo katika Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi
imekusanya mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 400 katika kapindi i cha mwezi mmoja ikiwa ni sawa
asalimia 91.2l la lengo la kukusanya
kwa mwezi Ts milioni 451
Hayo yalisemwa
hap jana na mwenyekiti wa Halimashauri ya
Nsimbo Mohamed Asenga wakati akitowa
taarifa ya kamati ya fedha uchumi na mipango mbele
ya kikao cha Baraza la madiwani
wa Halmashauri hiyo kilichofanyika kwenye
ofisi ya Halmashauri ya Nsimbo
Alilieleza baraza
hilo kwa kipindi cha mwezi june mwaka huu
Halimashauri kukusanya imeweza kiasi cha shilingi milioni 411,769,611 ikiwa ni sawa na 91.2 ya lengo kwa mwezi huu la
kukusanya kiasi cha shilingi milioni 451,507,275
Alisema mapato
hayo yametokana na vyanzo mbalimbali vya
mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo
iliyoanzishwa hivi karibuni
Asenga alilieleza
baraza hilo la madiwani kuwa kwa kipindi
cha mwaka julai 2013 hadi june 2014 Halimashaur ya
Nsimbo ilikusanya kiasi cha shilingi
milioni 753,042,184 sawa na asilimia
105.6 la lengo la kukusanya mapato kwa
mwaka shilingi milioni 713,328,000 kwa
mapato ya ndani
Alisema
Halimashauri ya Nsimbo katika maandalizi yake ya kuifanya Halimashauri
hiyo kuwa Halimashauri ya Mji mdogo imetumia kiasi cha shilingi milioni 250 kwa
ajiri ya pimaji wa viwanja 965 na uchoraji wa ramani
Nae diwani wa
Kata ya Magamba aliiomba Halimashauri hiyo
kuwchukulia hatua watendaji wote wa Vijiji ambao wamekuwa na tabia ya kutowasomea
wananchi mapato na matumizi kwenye
vijiji vyao
Alisema kwani watendaji hao wamesababisha
wananchi wengi vijijini ambao walikuwa na moyo wa kuchangia
michango ya maendeleo kuvunjika
moyo na kucha kuchangia michango
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
No comments:
Post a Comment