Friday, January 4, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea Hifadhi ya Katavi



 Simba jike akiwa katika mawindo kwenye hifadhi ya Katavi.

  Waziri
Mkuu Mizengo Pinda atembelea hifadhi ya katavi  na kuweza kuona wanyama
waliopo katika hifadhi hiyo. Kulia ni mkewe Tunu Pinda akiwa ana tumia
kiona mbali kuangalia simba waliokuwa katika mawindo kwa nyuma ni Sheni
Abdallah Mkurugenzi Mkuu wa Katuma Bush Lodge iliyopo katika hifadhi ya
katavi.Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment