Wachezaji wa ngoma ya asili aina
ya Uyeye kutoka Tarafa ya Inyonga Wilayami Mlele Mkoa wa Katavi wakicheza ngoma
huku wakiwa wameshika nyoka aina ya Chatu wakati wa uzinduzi wa kamati ya
usalama barabarani Mkoa wa Katavi katika sherehe zilizo fanyika katika uwanja
wa Kashaulili Mjini Mpanda.
mchezaji wa ngoma aina ya uyeye
maarufu kwa kabila la wakonongo kutoka tarafa ya inyonga wilaya ya mlele
akicheza ngoma huku akiwa ameshika nyoka aina ya chatu wakati wa sherehe ya
uzinduzi wa kamati ya usalama barabaabi mkoa wa katavi iliyofanyika jana katika
uwanja wa shule ya msingi kashaulili mjini mpanda.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr. Rajab
Rutengwe akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mpanda katika uwanja wa shule ya
msingi kashaulili wakati wa sherehe za uzinduzi wa kamati ya usalama barabarani
ya mkoa wa katavi ambapo amepiga marufuku kwa bodaboda wote kupakia abiria
zaidi ya mmoja (mishikaki)
Wachezaji wa ngoma ya asili aina
ya Uyeye kutoka Tarafa ya Inyonga Wilayami Mlele Mkoa wa Katavi wakicheza ngoma
wakati wa uzinduzi wa kamati ya usalama barabarani Mkoa wa Katavi katika
sherehe zilizo fanyika katika uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda.
Picha na walter mguluchuma
Blogzamikoa
No comments:
Post a Comment