Thursday, August 30, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA ASKOFU KIKOTI

Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka kwenye jengo la kiaskofu la Jimbo la Mpanda mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifu cha Askofu wa Jimbo la Mpanda Pascal Kikoti kilichotokea juzi katika Hospotari ya Rufaa ya Bugando Mwanza.
Askofu wa Jimbo la Sumbawanga Damiano Kiarusi akiwa na Makamu wa Askofu wa Jimbo la Mpanda Padri Patrick Kasomo mara baaa ya kuagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipo kuwa amekwenda kusaini kitabu cha maombolezo cha kifo cha Askofu Pascal Kikoti.

Kaburi likiwa limeandaliwa tayari kwa ajiri ya mazishi ya Askofu wa Jimbo la Mpanda Pascal Kikoti aliyefariki hapo juzi huko Hospitari ya Bugando mwanza atazikwa siku ya Juma mosi katika Kanisa la Kiaskofu la Parokia Kuu ya Mpanda. Picha na Walter Mguluchuma, Katavi Yetu
Blogzamikoa

No comments:

Post a Comment