Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Katavi
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati ukiimbwa
Wimbo wa Taifa pamoja na ule wa Afrika Mashariki katika viwanja vya Jengo la
Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment