Thursday, December 20, 2012

WANANCHI WA KIJIJ CHA MAJIMOTO KATAVI WAISHUKURU BENKI YA CRDB KUSAIDIA SACOS YAO


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (katikati) akizungumza na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mpanda,Selemani Mbazi (kulia) mara baada ya kuonana na uongozi wa Sacos ya Maji Moto Katavi.Benki ya CRDB imetoa msaada katika Sacos hiyo,ambao ni mlango wa chumba cha kuhifadhia fedha (sefu) pamoja na kujenga kaunta ya kisasa kwa ajili ya kuhudumia wateja.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Maji Moto,Nyasongo Serengeti.
Jengo la Sacos ya maji moto kama lionekanvyo.Picha na Chriss Mfinanga.

No comments:

Post a Comment