Saturday, September 22, 2012

ULINZI SHIRIKISHI YAPUNGUZA UHALIFU KATAVI, YAJIPANGA KUKOMESHA WAHAMIAJI HARAMU KUTOKA NCHI ZA BURUNDI, CONGO, DRC

Na Walter Mguluchuma, Mpanda-Katavi Yetu
Polisi jamii na ulinzi shilikishi  katika  Mkoa wa Kakavi umepata mafanikio makubwa baada ya jeshi la polisi mkoani   katavi  kujiimarisha kwa kuweka askari  polisi kila kata ambao wanatowa  elimu kwa wananchi    na tayari wameelewa namna ya kujilinda wenyewe

 Kamanda wa polisi wa mkoa wa katavi dhahiri kidavashari  alieleza kuwa baada ya wananchi  kupatiwa elimu hiyo  sasa hivi wamekuwa  wakitowa  ushirikiano kwa jeshi la polisi   na wamekuwa wakitowa taarifa nyingi za  zilizo saidia kuzuia matukio ya uharifu mbalimbali

 Hari hiyo imewafanya wananchi waweze   kuzuia uarifu mdogo  mdogo  unao tokea   kakika mitaa yao  vijjijihi  na kwenye kata zao kwa ushirikiano wa  polisi na  na vikundi vya askari wa jadi sungusungu

 Kamanda kidavashari ameeleza mkoa wa katavi  kwa sasa waharifu  hawana mwanya  wa  kufanya uharifu  hasa kwenye maeneo  ambayo  sera  ya ulinzi shirikishi   ilipo enea  na kushamiri

Hari hiyo imefanya   inatokana na wananchi  wa maeneo hayo  kuwa makini  wakati wote  na kuwafuatilia waharifu  nyendo zao za uharifu  nakuwafanya waharifu  kuwa na hofu ya kutenda  makosa mbalimbali   ya jinai  kwani  muda wote  wanahisi kuwa wananchi  wanawafuatilia kuwa kamata

 Pia kutokana na polisi jamii   kushamiri  wameweza  kuwa na ushirikiano mkubwa na  sana  na hifadhi ya katavi  na wameweza kufanikiwa  kukamata majangiri wengi  wenye silaha za kivita

Pia wamefahikiwa   meno ya tembo  na kuharibu  mtandao wa majangiri na wafanya biashara  wa pembe za ndovu ambao wengi wao wanatoka  katika  mikoa ya  Dodoma   kigomo na  dares salaam

 Kidavashari  alitaja changamoto baadhi ya changamoto zinazo wakabili kuwa   ni uingiaji wa  wahamiaji haramu  wa kigeni  wanao ingia kinyemela kutoka nchi za congo  drc Zambia na Burundi ambao

wanaingia kwa  urahisi kwa vile wana ndugu zao wanao ishi  katika  makazi ya wakimbizi  ya mishamo na katumba  katika mkoa wa katavi

Vilevile  kuwa karibu na  na mikoa  ya kigoma na tabora  ambako kuna kambi za wakimbizi kutoka  congo  na drc hivyo  kusababisha kuingia ndani ya mkoa huu ki rahisi   pia wapo  wananchi ambao siowaaminifu  wamekuwa wakiwapokea  na kuwahifadhi  waamiaji  haramu 

  Kutokana  na jambo hili kufahamika wananchi  wanapewa  elimu   kuhusu madhara  yanayo weza kutokea na kupatikana  kutokana na kuwahifadhi  wahamiaji haramu
 Blogzamikoa

No comments:

Post a Comment