Ofisi ambayo
inatumiwa na afisa Mtendaji wa kijiji cha Katambila kata ya Ugala ambayo
mazingira yake yako katika hali mbaya kwa matumizi ya ofisi
Mtu mwenye matatizo ya
akili akiwa ameshikwa na butwaa katika eneo la kip-left karibu na
kituo cha polisi cha wilaya ya mpanda baada ya mwenzake mmoja mwenye upungufu
wa akili aliyekuwa akiishi nae katika eneo hilo kufariki Ghafla hapo jana
Mtoto riziki moshi
akiwa na mwenzake wakichota maji katika mto Ugala wilayani mlele maji hayo
ambayo hayako salama kutumiwa na wakazi wa kijiji hicho kwa matumizi ya
nyumbani.
wafanyakazi wa
shirika la reli wakifanya matengenezo ya reli hapo jana katika kituo cha
Ugal
Picha zote na Walter Mguluchuma, Katavi Yetu
Blogamikoa
No comments:
Post a Comment