Monday, October 31, 2016

TUKIO RASMI KATIKA PICHA: UPADRISHO WA PADRI DOMINIC OGUTA JIMBO LA MPANDA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

mkuu wa Mkoa wa katavi meja jenerali mstaafu Raphael Muhuga akimpongeza Padre Dminic Oguta baada ya kupewa daraja la updre na Askofu Gervas Nyaisonga wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda katika Ibada iliyofanyika Jana Kanisa kuu la Maria Emakulata Jimbo la Mpanda Pina Walter Mguluchuma.
Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Mpanda Gervas Nyaisonga akimpa daraja la upadre Padre Dominic Ozyambo Ogutu katika ibadada iiyofanyika katika ibada iliyofanyika jana  Kanisa kuu la mtakatifu maria Emakulata   Jimbo Katoliki  la mpanda,
Picha na Walter Mguluchuma,
 Baadhi ya waumini wakiwa katika upadirisho huo

1 comment:

  1. hongera sana padre mpya kwa kupata taraja takatifu la upadre na hudumu katika imani!

    ReplyDelete