Home » » Serikali imedhamilia kutimiza lengo la mabadiliko ya utendaji kazi wa jeshi la zimamoto

Serikali imedhamilia kutimiza lengo la mabadiliko ya utendaji kazi wa jeshi la zimamoto

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Naibu  Waziri  wa  Mambo ya   ndani  Hamad  Masauni  akiwa  katika  picha ya  pamoja  na  viongozi wa  Mkoa  wa   Katavi wakati wa  ziara  yake ya  siku  moja .

aibu  waziri wa  Mambo ya  ndani  Hamad  Masauni  akikagua  gari la  zimamoto  la  mkoa  wa   Katavi   ambalo  ndilo   gari pekee la  zimamoto  linatumiwa  na   Mkoa wa  Katavi  katika  matukio  mbali mbali ya  uzimaji  moto  pamoja  na kwa  matumizi ya  uwanja  wa  ndege

Naibu  waziri wa   mambo ya  ndani  Hamad  Masauni akikagua   jengo la  nyumba la  kuishi  askari   katika   gereza  la  kilimo  la  Kalilankulukulu  wakati wa     ziara  yake  ya  siku  moja  Mkoani   Katavi .

Naibu  Waziri wa   mambo ya  ndani   Hamad  Masauni  akiwa  na   wajumbe wa  kamati ya   ulinzi na  usalama  wa   Wilaya ya Mpanda  na  wa  Mkoa  wa  Katavi

Naibu  waziri wa  mambo ya  ndani  Hamad   Masauni  akivishwa   sikafu wakati  alipotembelea  ofisi ya  CCM   Mkoa  wa   Katavi  iliyopo   katika  Mtaa  wa  Majengo  A   Picha  na  Walter  Mguluchuma


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa