Waziri wa Maliasili na
Utalii Prof Jumanne Maghembe akiwahutubia wahitimu wa
mafunzo ya ukakamavu ambao ni wahifadhi wa wanyama pori kutoka
Tanapa , Mamlaka ya Ngorongoro na Tawa mafunzo yaliofanyika
katika kituo cha Mlele Mkoa Katavi yaliowashirikisha wahitimu
69 yalifungwa hapo jana na Waziri wa Maliasili na Utalii
Prof Jumanne Maghembe ambapo alieleza kuwa Serikali
itaendelea kulinda maliasili kwa nguvu zote.
Picha na Walter Mguluchuma
Picha na Walter Mguluchuma
0 comments:
Post a Comment