Home » » WAHIFADHI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA SHABAHA KWA KUTUMIA RISASI ZA MOTO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YAO

WAHIFADHI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA SHABAHA KWA KUTUMIA RISASI ZA MOTO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YAO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Wahifadhi wa  Wanyama pori kutoka TANAPA  , TAWA  na  Mamlaka ya   Ngorongoro wakilenga  shamba kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo yaliyofungwa hapo jana na Waziri wa Maliasili  na Utalii  Prof  Jumanne  Maghembe katika  kituo cha  mafunzo cha  Mlele  Mkoani  Katavi .
  Picha  na   Walter  Mguluchuma​

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa