Home » » WAZIRI MKUU ALIPOWASILI MKOANI KATAVI

WAZIRI MKUU ALIPOWASILI MKOANI KATAVI

 Waziri  Mkuu  Kassimu  majaliwa  akisalimiana  na  wajumbe wa  kamati ya  ulinzi na  usalama  ya  Mkoa wa  Katavi  mara baada ya kuwasiri  katika  uwanja wa  ndege wa  Mpanda hapo  juzi wakati waziara  yake ya  siku  tatu  Mkoani  Katavi .
 Waziri  Mkuu akiwapungia  Mkono wananchi wa  Wilaya ya  Mpanda  hapo  juzi  mara   baada ya kuwasiri katika  uwanja wa  Ndege wa Mpanda wakati wa ziara yake ya  sita  tatu  Mkoani  Katavi .
    Picha   Na  Walter  Mguluchuma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa