Home » » MWANAFUNZI AFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI‏ (Tunaomba Radhi kwa picha hizi)

MWANAFUNZI AFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI‏ (Tunaomba Radhi kwa picha hizi)








mwili wa mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kashaulili wa kidato cha tatu Zachalia Anton (15) mkazi wa mtaa wa Nsemulwa Mjini Mpanda akiwa amefariki Dunia hapo leo baada ya kugongwa na mwendesha pikipiki (Bodaboda) katika eneo la mtaa wa madukani Mjini Mpanda hapo leo Ambapo mwendesha bodaboda huyo alikimbia na kuitelekeza pikipiki na anatafutwa na jeshi la polisi Picha na Walter Mguluchuma.

Picha zote na: www.blogszamikoa.blogspot.com

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Katavi yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa